Katika maisha huwa tunawaza mambo mbalimbali ikiwemo maendeleo, ni muhimu
sana kuwa makini ili usidharau kile unachokiwaza kwani yawezekana ukaona
hakina maana lakini kumbe ni kitu kikubwa sana.
Iwapo utathubutu kufanya kile unachokiwaza, basi ujue wewe ni mshindi
haijalishi umefanikisha au la, kwani hakuna mafanikio bila
changamoto.USIKATE TAMAA.
No comments:
Post a Comment