Msanii wa filamu tanzania jacob stephen (JB) akifanya mahojiano katika kipindi cha stars and fans kipindi hicho hurushwa na channel ya sibuka maisha ambapo jb aliongelea mambo mengi likiwepo kwa uzinduzi wa filamu yake mpya ya KALAMBATI LOBO ambayo ilizinduliwa siku ya jumatatu pa jb amezungumzia swala lake la kutaka kuachana na maswala ya tasnia ya filamu na kufanya shughuli zake zingine binafsi
No comments:
Post a Comment