Tuesday, May 31, 2016

WASTARA KUFUNGA NDOA KISIRI KABLA YA RAMADHANI.

+Katika hali Ya Kushitukiza Inasemekana Mwanadada Mahili wa Bongo Movies Wastara Juma Ana mipango ya Kufunga ndoa siku za usoni kabla ya Ramadhani. Juhudi Za Mwandishi Wetu kumtafuta Wastara ili alizungumzie hili ziligonga mwamba baada simu kutopokelewa.

Mwandishi hakuchoka Akamtafuta Mtu Wa Karibu wa Wastara Juma ambaye Hakutaka jina lake litajwe Alisema " Ni Kweli Wastara Anafunga Ndoa Siku Si Nyingi Ila Huwa Hapendi Kuweka Mambo Hadharani " Aliongeza kuwa Wastara Amewaonyesha Pete ambayo ndio atavarishwa na Mwanaume wa sasa ambayo thamani yake ni 


Dola za Kimarekani 3,000. Alitutumia Picha ya Pete.

No comments:

Post a Comment