Saturday, July 30, 2016
Friday, July 29, 2016
Tuesday, July 26, 2016
Wednesday, July 20, 2016
TAUSI MDEGELA KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA SIKITU PREMIERE.
TAUSI MDEGELA msanii wa bongo movie katika uzinduzi wa filamu ya sikitu iliyofanyika katika ukumbi wa cineplex suncrest cinema
MSANII WA BONGO MOVIE WASTARA SAJUKI KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA SIKITU
Msani wa bongo movie WASTARA akiwa kwenye mahojiano na kituo cga habari cha hapa Tanzania sibuka fm katika uzinduzi wa filamu ya sikitu iliyoandaliwa na msanii kajala masanja pamoja mastaa wengine wa hapa ncini.
WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO MH. NAPE NAUYE AKIWA NA MKURUGENZI WA SEPS ENTERTAIMENT MR. DILESH SOLANKI ALIPOHUDHULIA TAMASHA LA UZINDUZI WA FILAMU YA SIKITU.
Saturday, July 2, 2016
FILAMU YA SIKITU KUONYESHWA LIVE SINEMA KATIKA UKUMBI WA CINEPLEX CINECREST CINEMA.
Filamu ya sikitu iliyochezwa na mastaa kibao wa bongo kama kajala masanja ,hemed suleiman,mutrah na wengine wengi itaruka live katika ukumbi wa suncrest cineplex cinema uliopo maeneo ya quality centre siku ya tarehe 9/7/2016 filamu hiyo itaendelea kuonyeshwa ukumbini hapo mpaka tarehe 17/07/2016 akiongea na blog hii muandaaji wa filamu hiyo kajala masanja amewataka na kuwaomba watanzania wote hasa wapenzi wa tasnia ya filamu nchini kufika siku hizo zilizo tajwa kujionea kazi hiyo iliyojaa mambo mengi ya kueleimisha na kuburudisha pia.
Subscribe to:
Posts (Atom)