WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO MH. NAPE NAUYE AKIWA NA MKURUGENZI WA SEPS ENTERTAIMENT MR. DILESH SOLANKI ALIPOHUDHULIA TAMASHA LA UZINDUZI WA FILAMU YA SIKITU.
Tamasha hilo liliambatana na matukio mengi ya kupendeza na lilihhudhuliwa na wasanii kibao wa bongo movie filamu hiyo kwa sasa ipo madukani nchi nzima
No comments:
Post a Comment