Filamu ya sikitu iliyochezwa na mastaa kibao wa bongo kama kajala masanja ,hemed suleiman,mutrah na wengine wengi itaruka live katika ukumbi wa suncrest cineplex cinema uliopo maeneo ya quality centre siku ya tarehe 9/7/2016 filamu hiyo itaendelea kuonyeshwa ukumbini hapo mpaka tarehe 17/07/2016 akiongea na blog hii muandaaji wa filamu hiyo kajala masanja amewataka na kuwaomba watanzania wote hasa wapenzi wa tasnia ya filamu nchini kufika siku hizo zilizo tajwa kujionea kazi hiyo iliyojaa mambo mengi ya kueleimisha na kuburudisha pia.
No comments:
Post a Comment