Katika maisha huwa tunawaza mambo mbalimbali ikiwemo maendeleo, ni muhimu
sana kuwa makini ili usidharau kile unachokiwaza kwani yawezekana ukaona
hakina maana lakini kumbe ni kitu kikubwa sana.
Iwapo utathubutu kufanya kile unachokiwaza, basi ujue wewe ni mshindi
haijalishi umefanikisha au la, kwani hakuna mafanikio bila
changamoto.USIKATE TAMAA.
Tuesday, May 31, 2016
WASTARA KUFUNGA NDOA KISIRI KABLA YA RAMADHANI.
Mwandishi hakuchoka Akamtafuta Mtu Wa Karibu wa Wastara Juma ambaye Hakutaka jina lake litajwe Alisema " Ni Kweli Wastara Anafunga Ndoa Siku Si Nyingi Ila Huwa Hapendi Kuweka Mambo Hadharani " Aliongeza kuwa Wastara Amewaonyesha Pete ambayo ndio atavarishwa na Mwanaume wa sasa ambayo thamani yake ni
Thursday, May 26, 2016
Monday, May 23, 2016
Saturday, May 21, 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)