Filamu mpya ya msamaha inatalajia kutoka siku ya jumatatu ya tarehe 06/06/2016 ambapo akieleza mtunzi wa filamu hiyo kuwa filamu imasheheni mastaa kibao wa bongo movie hivyo watanzania wajiandae kuitafuta na aliongezea kuwa ndani ya filamu hiyo imebeba ujumbe mzima wa mwezi mtukufu wa ramadhani
No comments:
Post a Comment