Tuesday, December 20, 2016
Sunday, December 4, 2016
Monday, October 3, 2016
Thursday, September 29, 2016
Wednesday, September 28, 2016
Tuesday, September 27, 2016
MSANII WA BONGO MOVIE AKIFANYA MAHOJIANO KATIKA KIPINDI CHA STARS AND FANS
Monday, September 26, 2016
Thursday, September 22, 2016
Tuesday, September 20, 2016
Friday, September 16, 2016
Monday, September 5, 2016
Thursday, September 1, 2016
Wednesday, August 31, 2016
Tuesday, August 30, 2016
Monday, August 29, 2016
Saturday, August 27, 2016
Friday, August 26, 2016
Wednesday, August 24, 2016
Tuesday, August 23, 2016
Tuesday, August 16, 2016
Sunday, August 14, 2016
Friday, August 12, 2016
Friday, August 5, 2016
Thursday, August 4, 2016
Tuesday, August 2, 2016
Monday, August 1, 2016
Saturday, July 30, 2016
Friday, July 29, 2016
Tuesday, July 26, 2016
Wednesday, July 20, 2016
TAUSI MDEGELA KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA SIKITU PREMIERE.
MSANII WA BONGO MOVIE WASTARA SAJUKI KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA SIKITU
WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO MH. NAPE NAUYE AKIWA NA MKURUGENZI WA SEPS ENTERTAIMENT MR. DILESH SOLANKI ALIPOHUDHULIA TAMASHA LA UZINDUZI WA FILAMU YA SIKITU.
Saturday, July 2, 2016
FILAMU YA SIKITU KUONYESHWA LIVE SINEMA KATIKA UKUMBI WA CINEPLEX CINECREST CINEMA.
Monday, June 27, 2016
Monday, June 20, 2016
Sunday, June 19, 2016
Saturday, June 18, 2016
WAZIRI MKUU MH.KASSIM MAJALIWA AAGIZA MIKOA KUWA NA BENKI ZA WANANCHI
CHUCHU HANSY KUJA NA FILAMU MPYA IITWAYO USIKU WA DAKU
Thursday, June 16, 2016
HAPPY BIRTHDAY MC VIOLETH KAPENJA.
Wednesday, June 15, 2016
Monday, June 13, 2016
STEPS ENTERTAINMENT KUACHIA FILAMU YA MATALA TAREHE 20/06/2016
RAMADHANI KAREEM.
Wednesday, June 8, 2016
KOCHA MKUU WA YANGA PLUIJIM AWACHIMBA MKWALA WACHEZAJI WAKE .
HAPPY BIRTHDAY MR JOSEPH KUSAGA (CEO) CLOUDS MEDIA
MAMA AMTOBOA MACHO MTOTO WAKE WA KAMBO.
MTI WA MUEMBE WAZUA KIZAZAA HUKO TANGA.
Tuesday, June 7, 2016
KIKULACHO KIPO NGUONI MWAKO
Ilikuwa kawaida yake kulala na nyoka wake, na haya ndiyo yaliyomkuta
Hii ni hadithi ya kweli kuhusu mwanamke aliyekuwa na nyoka wake aina ya chatu aliyempenda
sana. nyoka alikuwa na urefu wa mita 4, aliishi naye kwa muda mrefu na siku zote nyoka yule alionekana mwenye afya. Hata hivyo, nyoka alianza kukosa hamu ya kula kwa wiki kadhaa jambo lililomnyima raha mama yule kwani alihisi nyoka wake ni mgonjwa. Mama alijaribu kumpa kila kitu alichoweza ambacho nyoka wangependa kula lakini haikusaidia kitu, mama yule alikata tamaa na aliumia zaidi kwakuwa alimpenda sana nyoka wake. Hatimaye mama yule aliamua kumpeleka nyoka wake kwa daktari wa mifugo. Daktari alimsikiliza yule mama kwa makini kisha akamuuliza , " Je, unalala na nyoka wako wakati wa usiku? anapenda kulala karibu zaidi na wewe na kujipimisha urefu wake na wako? "
Mama kwa matumaini makubwa alisema, "Ndiyo! Ndiyo! anafanya hivyo kila siku na inanipa huzuni kwa sababu nahisi kuna kitu anatamani kuniambia lakini hawezi na Mimi pia nashindwa kumuelewa hivyo nakosa namna ya kumsaidia ili ajisikie vizuri kama siku zote "
Daktari akampa jibu la kushtusha moyo " Mama, chatu wako si mgonjwa ; ... "Ndiyo, chatu hakuwa mgonjwa, amekuwa katika maandalizi ya kumla mama yule. daktari akaendelea, "Kila wakati anataka kukaa karibu na wewe, kujikunjakunja mwilini mwako na kukutambaa kila muda, lengo lake ni kupima ukubwa wako na kuangalia namna gani utakuwa mzuri mlo wake. anajilinganisha kujua jinsi gani utawa mlo mkubwa kwake hivyo anajipanga kwa mashambulizi. Na ndio maana hataki kula sasa ili kulipa tumbo lake nafasi ya kutosha kwaajili yako pindi atakapokugeuza kitoweo chake ".
FUNDISHO- Watu wako wa karibu zaidi unaowaamini, wapole na wanaoonyesha kukupenda wanaweza kuwa wabaya zaidi kwako. Upendo wa dhati na dhamira nzuri haitokani na namna watu wanavyo Kukumbatia na kukuchekea. Unafiki huambatana na Upendo wa kujilazimisha. Usiogope mashambulizi yanayopangwa na maadui zako juu yako Bali ogopa rafiki mnafiki anayekukumbatia na kukuchekea huku anakumwagia sumu kali. Adui wa MTU ni wa nyumbani mwake.
ROSE NDAUKA KATIKA MAANDALIZI YA FILAMU YAKE MPYA YA ANGELA.
HATIMAYE ABDALLAH KISANDA ALIYEKUWA MCHEZAJI WA JKT RUVU APATA JIKO..
Monday, June 6, 2016
PACHA WA MSANII RIYAMA ALLY AITWAE MWANAHER KUACHIA FILAMU YAKE MPYA HIVI KARIBUNI.
MSANII WA BONGO MOVIE RACHEL BITHULO AKANUSHA KUWA NA MAHUSIANO.
Friday, June 3, 2016
OMARY TEGO AWAZAWADIA MASHABIKI WAKE ZAWADI YA RAMADHANI KARIM.
FILAMU YA MSAMAHA KUACHIWA RASMI NA STEPS SIKU YA JUMATATU.
HATIMAYE SNURA AJA NA MENDE BAADA YA CHURA KURUDISHWA MAJINI.
SNURA MUSHI
Wednesday, June 1, 2016
ROSE NDAUKA ATOA MACHOZI MISAADA KWENYE KITUO CHA WATOTO YATIMA KILICHOPO KIGOGO.
.
Tuesday, May 31, 2016
FANYA UNACHOKIPENDA NA UNACHOKIFIKILIA
WASTARA KUFUNGA NDOA KISIRI KABLA YA RAMADHANI.
Mwandishi hakuchoka Akamtafuta Mtu Wa Karibu wa Wastara Juma ambaye Hakutaka jina lake litajwe Alisema " Ni Kweli Wastara Anafunga Ndoa Siku Si Nyingi Ila Huwa Hapendi Kuweka Mambo Hadharani " Aliongeza kuwa Wastara Amewaonyesha Pete ambayo ndio atavarishwa na Mwanaume wa sasa ambayo thamani yake ni